Mtasubiri Lyrics by Diamond Platnumz Ft Zuchu


Diamond Platnumz and Zuchu Lyrics

Read the full lyrics to ‘Mtasubiri’ by Diamond Platnumz, featuring Zuchu: Mtasubiri is the fourth track on Diamond’s 2022-released album, FIRST OF ALL.Diamond Platnumz – First Of All Album CoverDiamond Platnumz & Zuchu – Mtasubiri LyricsVerse 1: Zuchu & Diamond Platnumz
Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona, na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Ooh kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habariPre-Chorus: Zuchu & Diamond Platnumz
Eti unanipenda mi (Mmnh)
Unanitaka pia (Mmnh)
Unaniamini (Mmnh)
Na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (Mmnh)
Unanitaka pia (Mmnh)
Unaniamini (Mmnh)
Na umeniridhiaChorus: Diamond Platnumz & Zuchu
Mtasubiri sana, mtasubiri (Oh mtangoja)
Mtasubiri sana, mtasubiri
Wanasubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubiri (Oh, vuten kiti mkae)
Mtasubiri sana, mtasubiriVerse 2: Diamond Platnumz & Zuchu
Oh baby mi mwenzako njiwa wakufugwa
Oh baby vya chakuchaku vitanifuja
Oh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Oh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nishaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Na presha zitaqwashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tambaPre-Chorus: Diamond Platnumz & Zuchu
Eti unanipenda mi (Mmnh)
Unanitaka pia (Mmnh)
Unaniamini (Mmnh)
Na umeniridhia
Unanipenda mimi (Mmnh)
Unanitaka pia (Mmnh)
Unaniamini (Mmnh)
Na umeniridhiaChorus: Diamond Platnumz & Zuchu
Mtasubiri sana, mtasubiri (Oh mtangoja)
Mtasubiri sana, mtasubiri (Oh)
Wanasubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubiri
Mtasubiri sana, mtasubiriOutro: Diamond Platnumz & Zuchu
Wanasema eti umeniroga
Ni kweli ila inawahusu nini
Hunipendi ila unanichuna
Ni kweli ila inawahusu nini
Eti wanasema wewe ni kicheche
Ni kweli ila inawahusu nini
Utanichezea kеsho uniache
Ni kweli ila inawahusu niniRead Other Latest Music Lyrics HereGet Fresh updates as they drop via Twitter and Facebook

 

Thank you for reading this post on Songs Lyrica Hope You like the article, Do share on social media like Facebooktwitter etc.

Leave a Comment